2020 edition ndio hiyo hapo juu ya post yako🤦🤦🤷🤷Yaani unaleta matokeo ys 2018.
Hio ya jana (2020 edition) nimeifuatilia matokeo yalikua hivi:
42 km: number 1 to number 5 ni Wakenya
21 km: number 1 to 5 ni Watz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Top position zote kwa wanaume(1-10) na wanawake 42 kms wote wakenya. Hahaa! 😀 Ndio hizi full provisional results kwenye mbio zote Kili Marathon 2020, hebu mueleze atuoneshe hao watz 1-5. Kilimanjaro Premium Lager Marathon2020 edition ndio hiyo hapo juu ya post yako
Safari hii nikama walijikaza upande wa 21km....Joseph Panga and Magdalene Shauri sound Tanzanian to me...42km waliona kiza kinene😀😀Top position zote kwa wanaume(1-10) na wanawake 42 kms wote wakenya. Hahaa! 😀 Ndio hizi full provisional results kwenye mbio zote Kili Marathon 2020, hebu mueleze atuoneshe hao watz 1-5. Kilimanjaro Premium Lager Marathon
Was a little bit disappointed on the prize money.... KShs 180,000 for first place😬😬😬😬....surely!!! Ata crate ya nyanya haiwezi kununua jameni!!!View attachment 1374989
Jombaa, watu wanapenda hela za 'bure' hata ziwe ndogo kiasi gani. Isingekuwa hivyo hawangekuwa wanalialia kuhusu wakenya kunyakua hela hizo kila mwaka. Kuna sehemu niliona povu, tena la waziri wa michezo Tz, Dkt. Mwakyembe. Nanukuu, "Haiwezekani, Tanzania tunaoHizi mbio watu hawakimbii kufuata pesa, huwa ni kwa ajili ya kuchangisha hela ili kusaidia mambo tofauti ya kijamii, mimi huzikimbia hata Dar, hii ya juzi ya Kili ilinipita maana nilibanwa, ila marafiki zangu walikuja Tz wote, angalia kwenye Strava uone Wakenya walivyopost humo.
Kwenye International Marathons k.m. Lagos wakenya wamekuwa wakinyakua $50,000(nafasi ya 1), $30,000(2), 20,000(3) hivyo hivyo hadi nafasi ya 15 na hiyo ni kwa kina dada na wanaume pia. Hadi wanigeria wanasema wakenya wapigwe marufuku. Ukiangalia hata kwenye Kili Marathon wakenya wanachomoka nazo pia, ukizingatia kwamba wanashinda kila mwaka, tena wanafagia nafasi zote. Km. 42km nafasi ya kwanza(4,000,000 Tzsh), 2(2million), 3(1M) kuendelea hadi kumi. Kwa ujumla top 10 wananyakua 10,000,000 Tzsh(7 zinaenda kwa 1,2,3) hiyo ni kwa wanaume tu. Kwenye half marathon top 10 wanaenda na jumla ya 6 million Tzshs kwenye kila kitengo(male&female). 2018 na 2019 pia wakenya walinyakua hela zote 31.5 million Tzsh. 2020, 42km zote, zaidi ya 17 million Tzsh. Half marathon zaidi ya 10million. 😎Was a little bit disappointed on the prize money.... KShs 180,000 for first place....surely!!!Ata crate ya nyanya haiwezi kununua jameni!!!View attachment 1374989
Acha urongo, huezi ona hiyo mlima toka Nai, unless you live on a flat earth. Even then you'd need a pair of eagle eyes and several lenses with incredible focal power to see the mountain 200km away.Hahaha Kilimanjaro Kenya 🇰🇪.... The highest point in Africa. Here is the view from Nairobi CBDView attachment 1038065
Acha urongo, huezi ona hiyo mlima toka Nai, unless you live on a flat earth. Even then you'd need a pair of eagle eyes and several lenses with incredible focal power to see the mountain 200km away.
Kuwa serious wakati mwingine jombaa, sasa utakosaje kuonekana kutoka Nairobi wakati mlima wenyewe upo Kenya? 😁 Best view pia ya Ml. Kilimanjaro ni kutoka Amboseli National Park, ambayo ipo Kenya pia. Sio siri na ndio maana huwa tunawasisitizia sana kuhusu hilo. 😎Acha urongo, huezi ona hiyo mlima toka Nai, unless you live on a flat earth. Even then you'd need a pair of eagle eyes and several lenses with incredible focal power to see the mountain 200km away.
Kuwa serious wakati mwingine jombaa, sasa utakosaje kuonekana kutoka Nairobi wakati mlima wenyewe upo Kenya? [emoji16] Best view pia ya Ml. Kilimanjaro ipo Amboseli National Park, sio siri na ndio maana huwa tunawasisitizia kuhusu hilo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakibisha tutafanya Interview na Amber mwenyewe athibitishe maana wakenya wamezoea sana.Wakenya kwenye mbio mko vizuri tu ila muache kutuibia vitu vyetu.
Juzi napita kwenye mtandao mmoja wa picha za watu wazima nakuta ile video ya Amber Rutty mmeshaitengeneza na kuonekana ni yenu wakati Amber Rutty ni Mtanzania.
Nilishangaa kweli.
In Nairobi we have perfect views of the two tallest Mountains in Africa upende usipende.Acha urongo, huezi ona hiyo mlima toka Nai, unless you live on a flat earth. Even then you'd need a pair of eagle eyes and several lenses with incredible focal power to see the mountain 200km away.
Yote miwili, mlima wetu Kili na Ml. Kenya pia.Mlima upi huo ambao upo Kenya?
Mount Kenya?
Mnafaa kuuwekea pazia haya manyang'au yasiwe yanafaidi! 😂Mlima upi huo ambao upo Kenya?
Mount Kenya?
2020 edition ndio hiyo hapo juu ya post yako[emoji1751][emoji1751][emoji1745][emoji1745]
Nope, hio sio ya 2020...
Safari hii waKE wamedominate 42 km as usual lakini wa TZ wamedominate 21 km..
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha urongo, huezi ona hiyo mlima toka Nai, unless you live on a flat earth. Even then you'd need a pair of eagle eyes and several lenses with incredible focal power to see the mountain 200km away.