LGE2024 Kilimanjaro: Mgombea wa CCM akana kumuwekea pingamizi mgombea wa CHADEMA, msimamizi wa uchaguzi anaduwaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X

"Kata ya Marangu Mashariki Kijiji cha Lyasongoro Msimamizi wa uchaguzi amewawekea wagombea wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) mapingamizi na kuonyesha kua mapingamizi hayo yameandikwa na wagombea wa CCM. Baada ya wagombea hao kufika ofisi ya mtendaji wagombea wa CCM wamekana kuandika barua hizo."

Pia soma: Makalla: CCM tumeweka mapingamizi, tunaamini haki itatendeka

View attachment 3150050

Hivi kwanini hawa wanaofanya hivi wasichapwe bakora tu? Yaani huu ni upuuzi wa hali ya juu, mnavyoendelea kulea huu ujinga ndio unatamalaki. Akichomewa mtu nyumba utaisha huu ujinga.
 
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X

"Kata ya Marangu Mashariki Kijiji cha Lyasongoro Msimamizi wa uchaguzi amewawekea wagombea wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) mapingamizi na kuonyesha kua mapingamizi hayo yameandikwa na wagombea wa CCM. Baada ya wagombea hao kufika ofisi ya mtendaji wagombea wa CCM wamekana kuandika barua hizo."
View attachment 3150050
Upumbavu fulani unaendelea hapo
 
Dah,
Hao wasimamizi wa uchaguzi kazi yao ni kughushi.

Itakuwa msimamizi aliandika barua FEKI ya pingamizi bila kumuandaa mwana ccm mwenzie
 
Mtendaji baada ya kuona mambo yameharibika anataka kukataa ku rekodiwa. Mwanzo aliona ni sifa.
 
Labda kwakuwa clip fup ,swali limeuliza ulimwekea pingamizi mgombea wa CHADEMA ,jibu ilitakiwa iwe hapana na sio simfahamu
 
Mchengerwa na CCM yako huu upumbavu mnaofanya utakuja kuliingiza Taifa kwenye umwagaji damu, hivi kwa nini msiache sanduku la kura litumike kupata viongozi halali? Historia inaendelea kuandikwa na lolote litakalo tokea hutakwepa lawama labda ukimbilie Arabuni wewe na ukoo wako wote.
 
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X

"Kata ya Marangu Mashariki Kijiji cha Lyasongoro Msimamizi wa uchaguzi amewawekea wagombea wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) mapingamizi na kuonyesha kua mapingamizi hayo yameandikwa na wagombea wa CCM. Baada ya wagombea hao kufika ofisi ya mtendaji wagombea wa CCM wamekana kuandika barua hizo."

Pia soma: Makalla: CCM tumeweka mapingamizi, tunaamini haki itatendeka

View attachment 3150050
Sura Al-Ma’idah, Aya 8

Mwenyezi Mungu anasema:

"Enyi mlioamini! Kuweni wenye kusimama kwa haki kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mtoapo ushahidi. Wala chuki yenu kwa watu isikufanyeni kutokutenda haki. Tendeni haki, kwani huko ndio kunako ucha Mungu..."
(Qur'an 5:8)
 
Aibu
 
Attachments

  • b3a34e7e631270a9e73fdd13db687369.mp4
    3.6 MB
  • watermark-51a3cc01acd06eefe8d1d23a20c76918_0.jpeg
    watermark-51a3cc01acd06eefe8d1d23a20c76918_0.jpeg
    516.2 KB · Views: 5
Back
Top Bottom