The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X
"Kata ya Marangu Mashariki Kijiji cha Lyasongoro Msimamizi wa uchaguzi amewawekea wagombea wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) mapingamizi na kuonyesha kua mapingamizi hayo yameandikwa na wagombea wa CCM. Baada ya wagombea hao kufika ofisi ya mtendaji wagombea wa CCM wamekana kuandika barua hizo."
View attachment 3150050
Upumbavu fulani unaendelea hapoAnaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X
"Kata ya Marangu Mashariki Kijiji cha Lyasongoro Msimamizi wa uchaguzi amewawekea wagombea wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) mapingamizi na kuonyesha kua mapingamizi hayo yameandikwa na wagombea wa CCM. Baada ya wagombea hao kufika ofisi ya mtendaji wagombea wa CCM wamekana kuandika barua hizo."
View attachment 3150050
Sura Al-Ma’idah, Aya 8Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X
"Kata ya Marangu Mashariki Kijiji cha Lyasongoro Msimamizi wa uchaguzi amewawekea wagombea wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) mapingamizi na kuonyesha kua mapingamizi hayo yameandikwa na wagombea wa CCM. Baada ya wagombea hao kufika ofisi ya mtendaji wagombea wa CCM wamekana kuandika barua hizo."
Pia soma: Makalla: CCM tumeweka mapingamizi, tunaamini haki itatendeka
View attachment 3150050
(Qur'an 5:8)"Enyi mlioamini! Kuweni wenye kusimama kwa haki kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mtoapo ushahidi. Wala chuki yenu kwa watu isikufanyeni kutokutenda haki. Tendeni haki, kwani huko ndio kunako ucha Mungu..."