Kilimanjaro: Mhasibu wa KCBL Bank aliyekuwa anatafutwa, Ombeni Masaidi adakwa na TAKUKURU

Alikuibia mkuu au ndio mambo ya majungu camp kama kawaida
 
Kaenda kujificha dodoma...

Pole mingi kwake...
 
Bora huko kwenye Takukuru hai, Tanga hakuna kesi zinazoripotiwa na kufanyiwa kazi labda mtuhumiwa asiwe bosi au mtu wa karibu na bosi.
Wakichukua maelezo ya watu wanazuga ni kuchafuatu karatasi za serikali
Wezi wanalindwa walalamikaji wanadhibitiwa
Takukuru Tanga ofisi yao ifungwe
 
Hizi kesi zilikua za kubambikiwa wakati wa magufuli. Hawana hatia hao ndio maana jamaa kaamu kujitokeza anajuwa hamna kesi hapo
 
Mkuu wa Takukuru Tanga alipisha uchunguzi kwa tuhuma za kula rushwa mpaka sasa haijulikani iliishia wapi.

Tanga kunani wagosi hadi bosi wa Takukuru anakula rushwa
Tanga rushwa imestawi
 
Huyu Mtu alishiriki kuiba na Mayor wa huo Mji, Tunasubiria Haki itendeke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…