LGE2024 Kilimanjaro: Mzozo mkali wazuka kituo Bubu Vunjo, Watu wakiandikishwa kiholela

LGE2024 Kilimanjaro: Mzozo mkali wazuka kituo Bubu Vunjo, Watu wakiandikishwa kiholela

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Hivyo vimama vinasikia sana.Yaani POLISI NA WALIMU nchi hii siku wakijitambua ukombozi utakuwa umekaribia Tanzania.Hao wa mama wanaamini hakuna cha kuwafanya kwa kuwa POLISI ni ya kwao
 
Hivyo vimama vinasikia sana.Yaani POLISI NA WALIMU nchi hii siku wakijitambua ukombozi utakuwa umekaribia Tanzania.Hao wa mama wanaamini hakuna cha kuwafanya kwa kuwa POLISI ni ya kwao
Maadui wa taifa hili ni ujinga, maradhi, police na walimu.
 
mi niliona shuleni hakuna kituo cha kuandikisha lakini kuna mwamba alikuja na daftari akaanza kuandikisha wanafunzi.
 
Wa bibi wa Kilimanjaro wajinga sana.ukute yanamaisha magumu lakini linajifanya kusaidia ccm badala ya kutenda haki
Mkuu siyo ''ukute wana maisha magumu'' bali wana maisha magumu. Huoni tu walivyo? Lakini mimi siwalaumu sana kwani upeo wao wa kuona mambo ni mdogo. Lawama ziende kwa serikali ambayo inajua bila viongozi bora nchi haiendi popote na wanaongozwa na matumbo yao kuvuruga mchakato. Wamama kama hawa utakuwa wamepewa pengine sh laki moja au hata pungufu ndiyo inawafanya wanavuruga maisha yao na ya watoto wao.
 
Kiukweli huu uchaguzi umepoteza ladha kabisa.
Ziko wapi 4Rs za Rais Samia?

Haya mambo huchochea chuki, machafuko na ugaidi.
Unapowanyima watu nguvu ya maamuzi maana yake umetawala kimabavu.

Nchi hii wajinga na maskini ndiyo mawakala wa watawala.
Inashangaza!
 
Hakuna uchaguzi 😄

Na huyo jamaa awe makini kesi hiyo itamgeukia

Ova
 

Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    420.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom