Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Hapo kuna mmoja mwanae huu ni mwaka watano hana ajira .Wa bibi wa Kilimanjaro wajinga sana.ukute yanamaisha magumu lakini linajifanya kusaidia ccm badala ya kutenda haki
Maadui wa taifa hili ni ujinga, maradhi, police na walimu.Hivyo vimama vinasikia sana.Yaani POLISI NA WALIMU nchi hii siku wakijitambua ukombozi utakuwa umekaribia Tanzania.Hao wa mama wanaamini hakuna cha kuwafanya kwa kuwa POLISI ni ya kwao
Mkuu siyo ''ukute wana maisha magumu'' bali wana maisha magumu. Huoni tu walivyo? Lakini mimi siwalaumu sana kwani upeo wao wa kuona mambo ni mdogo. Lawama ziende kwa serikali ambayo inajua bila viongozi bora nchi haiendi popote na wanaongozwa na matumbo yao kuvuruga mchakato. Wamama kama hawa utakuwa wamepewa pengine sh laki moja au hata pungufu ndiyo inawafanya wanavuruga maisha yao na ya watoto wao.Wa bibi wa Kilimanjaro wajinga sana.ukute yanamaisha magumu lakini linajifanya kusaidia ccm badala ya kutenda haki
Mzozo mkubwa umeibuka katika kituo bubu cha uandikishaji wapiga kura huko Vunjo, Kilimanjaro ambapo madai ya uandikishaji holela wapiga kura yameibua hasira na maswali mengi miongoni mwa wananchi wema.
Pia, Soma:
Mkuu uko sahihi ubongo umekuwa na mdudu.nimewatazama na inaonesha wote wanatumia ARV rudieni na ninyi muyatazame