Kilimanjaro na Arusha mikoa iliyobarikiwa vipaji vya kila aina

Kilimanjaro na Arusha mikoa iliyobarikiwa vipaji vya kila aina

mwanazuoni mgeni

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
1,944
Reaction score
1,726
Happynyerereday to everyone

Kilimanjaro na Arusha ni mikoa ambayo imebarikiwa vipaji vya Kila aina na watu ambao Wana ushawishi mkubwa sana katika nchi hii ya Tanzania

Mada hii itajikita zaidi katika katika music industry , Media na bongo movie industry (entertainment)

Producers
1) Master j
2) Dx
3) Nah reel
4) Chizan brain

Artists

Hip-hop
1) Joh makini
2) Nikki wa pili
3) Langa kileo
4) One the incredible
5) mabeste
6) bilnass
7) Rosa ree
8) King kapita ( It by proffesional)
9)salmin swag (OMG)
10)nay wa mitego
11) Mh temba
12) Lord eyez
13) g-nako
14) Bou nako
14) Stoper ryme
15) Dogo janja
16) Montra the future
17) Chin beez
18) jambo squad
19) jcb
20) chindoman
21) Chaba
22) Lard fire
23) Gentriez
24) Rafu mc
25) Ibra da hustler
26) Fido vatoloko
27) Roma
28) Dark master
29) Father neli ( X-plastaz)
30) Maujanja supply (Kulwa na dotto)

Singers
1) Mr nice
2) Barnaba boy classic
3) Vanessa mdee
4) Mimi Mars
5) Nandy
6) Haika (navykenzo)
7) Snura mushi (singeli)
8) Walter chilambo
9) Maua sama
10) Whozu
11) Rama dee
12) Wildad agripa
13) Emanuel mbasha

Bongo movies
1) Elizabeth michael (Lulu)
2) Irene uwoya
3) Irene Paul
4) Diana kimary
5)Sabrina rupia
6) Jackline wolper
7) Flora mvungi

Comedians
1) Katarina
2) Mr beneficial
3) Idris sultan
4) Kiwewe
5)Masawe mtata

Presenters
1)Milad-ayo
2) Sammisago
3)b-dozen
4) Adamchomvu
5) kenedy the remedy
6)jonijo
7) Ana Peter
8) Frida amani

DJ's
1) Dj summer
2) Dj mavufu
3) Dj d ommy

Video vixen
1) Cappuccino Tunda

Kilimanjaro na Arusha are best regions in this country katika entertainment Industry...

Happy nyerere day to everyone.....halla .....
 
Please kama una ngoma za Gentries naomba uzitupie hapa.. naujua wimbo wake mmoja tu...
 
mwanazuoni mgeni, kwa mujibu wako wengi wanatokea huko ila bora si watu Wa huko
➡diamondplatnumz
➡alikiba
➡gabo zigamba
➡fidq
➡nikki mbishi
➡mwana fa
➡young killer
➡jay more
➡p funk
➡lady jay Dee
➡professor Joseph haule (pro jay) na wengine wengi Sana unaweza kuongezea
 
ChizzoDrama, Inawezekana wakawa cio bora Ila nnachojivunia ni kuwa tume cover entertainment industry kwa ujumla Yan kaskazini tunaweza tukasimama sisi km sisi na tukawakilisha vyema
 
Inawezekana wakawa cio bora Ila nnachojivunia ni kuwa tume cover entertainment industry kwa ujumla Yan kaskazini tunaweza tukasimama sisi km sisi na tukawakilisha vyema
kusimama ninyi Kama ninyi kivipi? Kwanini nyie watu mnapenda hizi mambo za ukanda ? Na sijui lowassa angeshika hii inchi ingekuwaje nyie RAIA wabaguzi sana
 
Wapi Mimi onyesha ukanda .... Me nimejaribu kuonyesha vipaji tulivyobarikiwa watu wa kaskazini ....
kusimama ninyi Kama ninyi kivipi? Kwanini nyie watu mnapenda hizi mambo za ukanda ? Na sijui lowassa angeshika hii inchi ingekuwaje nyie RAIA wabaguzi sana
 
'Kuna wasanii wengi wenye asili ya Kigoma kama Diamond, Ali Kiba, Mrisho Mpoto na wengine wengi na huwezi kuwa msanii mzuri kama huna asili ya Kigoma,'' na haya yamedhihirishwa hata na kauli ya Mbunge Nswanzingwanko .. angalia pia top artists wanaoiwakilisha bongo kwa ujumla ni wa zile zile pande za mwisho wa reli..
 
Back
Top Bottom