Ni shukrani kwa moderators.....wamenifanyia hisani....
Mimi nalia na kilimanjaro stars....watz wanalalama na kuweka usimba na uyanga kwenye timu....uliona mashabiki wa Yanga walivyokuwa wanaishabikia ZIM? aibu kweli....
Lol...mimi mwenye nimeshangaa ila nikaambiwa ni second best looser nikasema haya banaa....Belo sasa Kilimanjaro asipopita unafikiri CECAFA watatengeneza hela wapi maana roho yao iko hapo Kilimanjaro akitolewa mapato kwishney...:lol: