Jamani, wengine tuko huku mashenzini leo... hakuna cha radio wala TV na leo kuna hii "crunch" game ya Tanzania Bara na Uganda semifinal ya CECAFA Challenge Cup.
Hivyo tunaomba wenye access ya kujua kinachoendelea wawe wanatupa updates kupitia hapa jamvini.
Mubarikiwe!!!
labda kuna thread nyengine wanaleta habari,,, hata mimi nna hamu ya kujua kinachoendelea
Mpira ni mpaka saa 11 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Sasa ni mechi kati ya Ivory Coast vs Ethiopia, kipindi cha pili matokeo bado suluhu (0-0).