chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
Usiwalaumu sana Watanganyika kwa mengi yanayotokea Zanzibar,wakuwalaumu ni wazanzibar wenyewe,mengi yanayotokea zanzibar yanasababishwa na wazanzibari wachache wenye akili ndogo ambao wametiwa kasumba na kasumba zimewaingia,wengine wanahiyari kusema bora wazanzibari wafe njaa lakini wao watawaleNdugu yangu ishaallah Allah atakubali dua zetu ..... Maana hawa watanganyika kikweli hasa wanatuchukulia kuwa sisi ni maadui zao tena ni adui kiliko hata hao wakenya ama waruwanda na wengine wa karibu yao, na hivi karibuni ndio wanashindwa kuficha uadui wao wanaidhihirisha waziwazi katika kila nyanja ya maisha.
Nimefurahi kuona ukieleza suala la kuondolewa zanzibar uwanachama wa CAF kizuri zaidi ikitolea mfano wa dhahir kwa taifa liliendelea zaidi kisoka na kiuchumi duniani GBR, ambalo linatoa nafasi kwa washirika wa muungano huo kuwa na uwakilishi wao katika michuona ya kimataifa kama world cup, euro cup na mengineo ila mitanganyika imeendekeza chuki, fitna, roho mbaya na ghadhabu za kijinga zisizojenga hata kwa wao wenyewe katika kila nyanja ya maisha sio uchumi, siasa wala michezo kila washikapo wanajikuta wana ZERO.
Waliotutawaa wamewahi kusema kuwa "Africans are very easy to be manipulated"