Kilimanjaro stars

chokambayaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
546
Reaction score
69
Jamani nimeiona stars ikicheza na zambia kwa kweli
ilinisikitisha kwa kutokuwa na mpango mzuri wa mashambulizi

Kwa sasa naiangalia ikicheza na timu dhaifu ya Somali matatizo ni yale yale
tunakosa sana magoli ya wazi forward yetu haiko makini yaani butu kweli kweli hivi tumekuwaje?? Mbona hamtupi raha jamani..............
Kweli sisi ni kichwa cha mwendawazimu?? au wachezaji hawajitumi?
Tatizo ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…