Kilimanjaro starts weekly flower flights

Alpha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
688
Reaction score
335
It's about damn time. Relying on Kenya to export our produce and bring us tourists has been and always will be a very bad idea. Now lets see Kilimanjaro Airport renovated and expanded to international standards.


http://www.busiweek.com/index.php?option=com_content&task=view&id=908&Itemid=1
 
Ninasikia wamo pia baadhi ya jamaa wanaotuhumiwa kama fisadi EPA!

Lakini kama wamo mie natoa hongera. Maana hawa sio sawa na wale wanaozificha hela Uswizi au Marekani na kisha wakafa hakuna mtu anajua na zikawa zaliwa na wazungu huku sisi hatuna ajira na twafa njaa!
 
Bila ya kujali nani wamo, hii ni habari nzuri sana. I hope wakulima wengi zaidi watafaidika.

Kwa muda nimekuwa nashangaa kwanini tunashindwa kuingia kwenye market ya maua wakati Wakenya na hata Wapalestina ambao wana eneo dogo kuliko TZ wanafaidika sana na soko la dunia shauri ya maua?

Hongera kwa wote waliohusika kufanikisha hili. Kama kuna Watanzania watafaidika hata kama ni wachache bado ni jambo muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…