Kilimanjaro: TRA yashiriki zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro

TRA Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
128
Reaction score
370

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo 5 Desemba, 2024 imeshiriki zoezi la kuanza kupanda mlima Kilimanjaro ambapo zoezi hilo linalenga kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika lenye kaulimbiu ya "Twenzetu Kileleni". Maafisa wa TRA nane kutoka mikoa mbalimbali nchini wanapanda mlima Kilimanjaro hadi kufikia kilele cha mlima huo wakiwa na ujumbe wa "Tuwajibike Kulipa Kodi kwa Hiari kwa Maendeleo ya Taifa". Mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu kuliko yote Afrika.

 
Hao tiaraei na yale matumbo yao makubwa wataweza kufika kileleni kweli?
Maana hata kileleni hawafikagi kwa sababu ya matumbo yao
 
Hapo washaingiza faida ya 300% kwa mwaka 2024 wacha wakazitumbue
MIfukoni mwao ama fuko kuu la taifa kwa wanataifa ama fukukuu kwa wanasii hasaa au fuko kuu la wala kwa urefu wa kamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…