Mie sikubaliani kabisa na Mtangazaji wa ITV kutoka mwanga nilkuwa huko kama week tatu kumpeleka Mke wangu kuwasalimia wazazi wao.
1: barabara za mwanga mlimani(Usangi na Ugweno) ni nzima hata kama mvua imeneyesha vipi na kipindi hiki mvua hakuna kubwa sana kiasikwamba wasihesabu kura na kuzifuata.
ITV kuweni makini sana taaarifa mletewazo na hao watangazaji wenu wawe wadadisi pia kutoka kwa wasimamizi wa kura kuna maeneo mengine haiwezekani matokeo yatolewe saa 7 usiku na tumesikia ati arumeru mashariki na magharibi nao matokeo mpaka usiku saa 7. jamani mmmmh hapa mbona natia shaka kabisaa, kumbukeni tunaijua geographia jamani ya miji mingine turisha soma huko na kukaa pia