Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kunazidi kuchangamka huko, mwishowe waje na kauli mbiu yenye matusi mradi tu kampeni zifanyike😂

======
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ni utekelezaji wa Rais Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha wananchi wanasaidiwa katika matatizo yote ya kisheria bila malipo.
Waziri Ndumbaro ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya msaada wa Kisheria ya ‘Mama Samia Legal Aid’ iliyofanyika wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro, ambayo itatekelezwa katika Halmashauri zote sita za mkoa wa Kilimanjaro na kuhusisha Kata kumi kwa kila Halmashauri.
Ndumbaro amesema wananchi wamekubaliana kwenda na kauli mbiu ya ‘Gusa Achia Twende na Samia Legal Aid’, kutokana na msaada wa kisheria anaoutoa Rais Samia Suluhu Hassan kwa wananchi wa kuwapatia msaada wa kisheria kwa wale wasio na uwezo.