irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 Apr 21, 2015 #1 Msaada jaman. Tumemkata mtoto kilimi toka asubuh mpaka saa 7 hii mchana analia,aliyemkata amesema hakuna dawa kitapoa chenyewe,tumetumia njia ya kienyej, mwenye uwelewa wa dawa yoyote ya kutuliza maumivu anielekeze plz
Msaada jaman. Tumemkata mtoto kilimi toka asubuh mpaka saa 7 hii mchana analia,aliyemkata amesema hakuna dawa kitapoa chenyewe,tumetumia njia ya kienyej, mwenye uwelewa wa dawa yoyote ya kutuliza maumivu anielekeze plz
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 Apr 24, 2015 #2 mpe pen V