Uwezi kuamini pretty,ameshakwenda hospital na ameshakula antibiotics mpaka daktari akamuonea huruma akaamua kumbadilishia dawa akampa esoz ambazo anatumia mpaka sasa.Lakini hali yake si nzuri bado nakohoa sana.Binafsi nilitaraji nitapata ushauri japo wa tiba mbadala(yaani dawa za kienyeji)
Navyofahamu mimi,siku hizi kuna kampeni ya kuzuia ukati wa vilimi.Na pia nakumbuka hospitali hauwezi kukatwa kulimi,ni waganga wa kienyeji ndo wanafanya shughuli hizo kwani hata mie nakumbuka kukatwa kilimi nikiwa mdogo.