bruno malago
New Member
- Aug 16, 2022
- 4
- 3
KILIMO BIASHARA ANZIA SOKONI.
Mkulima ili aweze kufanya uchaguzi wa kilimo anachotaka kufanya inatakiwa afanye ziara katika soko ili aweze kujua ni nini wateja wanahitaji, na nikwa kiasi gani, na ubora upi unahitajika, na nibei gani iliyopo Kwa wakati huo. Haya yote mkulima yanamsaidia kuweza kufanya uchaguzi wa aina gani ya kilimo aweze kufanya ili apate faida.
Baada ya mkulima kujua ni zao gani aweze kulima anatakiwa ajue mahitaji au garama za mwazo kabla ya kufanya kilimo chake husika, Kwa mfano mkulima amechagua kulima zao la nyanya chungu, mkulima anapaswa kujua garama zote za kuanzia ili aweze kufanya uzarishaji.
Bajeti ya shamba mkulima anatakiwa awe na asilimia sabini na tano(75%), na ndio ataweza kufanya kilimo chake bila shida ikifuatia na kusimamia shamba mpaka mavuno yatakapo anza.
Mfano wa bajeji ya shamba, zao ni nyanya chungu.
Matumizi;
Shamba la kukodisha lenye miundombinu iliyo kamilika =90,000/=
Mkulima atanunua miche ya nyanya chungu ambayo tayari imesiwa kwenye kitalu=250@1mche na unahitajika miche 10,000
Mbolea ya kupandia DAP =70,000/= @1bag
Mbolea ya kukuzia na kupandishia NPK =70,000/=@1bag
Madawa ya wadudu =100,000/=
Mapato baada ya kuvuna;
Shamba lenye ukubwa wa hekali linazalisha Kwa makadilio ndoo za nyanya chungu =1500
Na ndoo mmoja sokoni ni 7000/=
Mkulima ili aweze kujua faida anatakiwa kuchukua mapato atoe na garama za mwanzo
Faida =mapato-garama za mwanzo
=10,500,000-2,830,000
=7,670,000/=
Faida ya mkulima ni 7,670,000/= , hapa ndioo mkulima atamua kufanya uamuzi wa kufanya kilimo cha nyanya chungu kwani kitampatia faida baada ya kufanya uvunaji mwisho mwa msimu.

Upvote
3