Kilimo bora cha pilipili kichaa

kipenda12

Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
31
Reaction score
20
Napenda kutoa faida za zao la pilipili kichaa. Biashara hii imeshika kasi katika miaka hii ya hivi karibuni. Biashara hii ina pesa nyingi na wanunusi hawakopi bidhaa kwa wakulima.mauzo yake ni papo kwa papo baadhi ya Mikoa wanaita Dhahabu nyekundu. Tunatoa Elimu Bure na tuna masoko yenye huakika katika kilimo hichi cha pilipili kichaa.
 
Mbona kama upo speed sana mkuu ebu eleza taratibu tuelewane

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Funguka ueleweke mbona maelezo hayajajitosheleza?.
 
Nyie ndio wale wapigaji, Mara mjiite Namaingo, mara Kijani Kibichi na kadhalika tunawajua sana
 
Kuna mtu anatafuta tani za kutosha na kilo imefika 8000
 
Mbegu zake nazipata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…