Kilimo bora kwa biashara

Kilimo bora kwa biashara

Money finder

Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
5
Reaction score
1
Habari zenu wana jf natumaini mnaendelea vizuri naomba kujua ni aina gani ya kilimo cha biashara ambacho kina lipa na chenye soko na upatikanaji wake (mbegu)
 
Habari zenu wana jf natumaini mnaendelea vizuri. Naomba kujua ni Aina gani ya kilimo cha biashara ambacho kina lipa na chenye soko na upatikanaji wake (mbegu)

Siwezi kuchangia mpaka nijue Unamaanisha "BORA" au BOLA?
 
Back
Top Bottom