Kilimo cha Bangi Kibiashara Kinaruhusiwa Tanzania? Serikali Tupeni Muongozo Tuombe Vibali

Kilimo cha Bangi Kibiashara Kinaruhusiwa Tanzania? Serikali Tupeni Muongozo Tuombe Vibali

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Kwa Mujibu wa Serikali,bangi ndio kilevi au dawa inayotumiwa zaidi na Watanzania..

Pia Kuna Mikoa inalima Bangi Kwa Ajili ya Kuuza Nje ya Nchi ukiacha Mikoa inayolima kwa.matumizi ya ndani licha ya kuharamishwa.

Ramani hii hapa inaonesha Mikoa maarifu ya Kilimo Cha Bangi kibiashara Kwa Ajili ya Kuuza Nje ya Nchi ambayo ni Arusha, Mara, Manyara, Morogoro na Iringa.

Ganja.PNG
 
Ngoja nianze ufuatiliaji wa kibali cha hii mboga...🌿
 
Back
Top Bottom