Naomba tujifunze vitu kutoka kwa wenzetu. Maisha yamekuwa magumu tupunguze gharama kwa kutumia mbinu hizi. Watanzania wenzangu hivi vitu ni rahisi sio lazima kununua vitu vidogo vidogo ambavyo unaweza kuzalisha na kuhudumiwa hata na dada wa kazi na wewe ukafanya supervision jioni utokapo kazini
Tupunguze gharama ya Maisha mtu una eneo unashindwa hata kupanda mlimao mmoja ukasaidia jikoni miaka nenda rudi. Tubadilike