Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So kilimo hakina ishu kwa mtazamo wako??? Kilimo cha bustan haimanish malimao tu kaka. Kuna matunda mboga n.k ww hapo unenda choon kwa ajir ya chakula kinacholimwa au unakula mawe??Dah we aisee unaishi dunia ya wapi man? Haya bana lima malimao yanalipa sana maana walevi wanapenda kuyamix na supu