Kilimo cha Choya (Rosella)

Kilimo cha Choya (Rosella)

Superfly

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
985
Reaction score
2,066
Wakuu habari za mida hii? I hope ni wazima..
Ningependa kufahamu namna ya kushughulika na zao tajwa hapo juu.. mahitaji yake, utunzaji mpaka hatua za uvunaji.

Kwa anaefahamu naomba ashushe ujuzi wake, ahsanteni!!
 
Dodoma wanalima, ila sio serious kiviile. Just for funny tu sabab wanatumia kupikia pombe nadhan. So, hawalihidumii kabsa japo wanavuna.
 
Wakuu habari za mida hii? I hope ni wazima..
Ningependa kufahamu namna ya kushughulika na zao tajwa hapo juu.. mahitaji yake, utunzaji mpaka hatua za uvunaji.

Kwa anaefahamu naomba ashushe ujuzi wake, ahsanteni!!
Nipigie nikupe ufafanuzi japo zao hili halihitaji mambo mengi sana. Mimi ni mwenyeji wa Dodoma na nimelima sana hili zao
0678504178/0625629695

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Ila nadhani kama utatoa hapa wengi wetu tutafaidika, ila kma Kuna malipo nalo liseme tuelewe
 
Back
Top Bottom