P PerKnot Member Joined Jan 15, 2018 Posts 69 Reaction score 87 Sep 4, 2024 #1 Nahitaji kulima dagaa Mwanza, hasa maeneo ya Kabuku mkoani Tanga. Kwa yeyote anayeuza eneo au shamba KABUKU -TANGA TUWASILIANE 0713383604
Nahitaji kulima dagaa Mwanza, hasa maeneo ya Kabuku mkoani Tanga. Kwa yeyote anayeuza eneo au shamba KABUKU -TANGA TUWASILIANE 0713383604
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Sep 5, 2024 #2 Egbeth said: Nahitaji kulima dagaa Mwanza, hasa maeneo ya Kabuku mkoani Tanga. Kwa yeyote anayeuza eneo au shamba KABUKU -TANGA TUWASILIANE 0713383604 Click to expand... Kuishi kwingi ni kuona mengi, nilidhani dagaa wanafugwa kumbe ni kilimo kabisa.
Egbeth said: Nahitaji kulima dagaa Mwanza, hasa maeneo ya Kabuku mkoani Tanga. Kwa yeyote anayeuza eneo au shamba KABUKU -TANGA TUWASILIANE 0713383604 Click to expand... Kuishi kwingi ni kuona mengi, nilidhani dagaa wanafugwa kumbe ni kilimo kabisa.
Y Yusufu R H Sabura JF-Expert Member Joined Jun 26, 2020 Posts 355 Reaction score 486 Sep 5, 2024 #3 mimi ndo sijaelewa au
Jagiya JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 1,206 Reaction score 1,828 Sep 5, 2024 #4 Unauhakika ardhi yako ina rutuba ya kutosha kwa kilimo hicho?