Fiwi ni zao ambalo linawatoa sana wakulima wa mikoa ya Kilimanjaro (Mwanga, Same) na Tanga (Mombo). Soko lake hasa ni KENYA.
Sasa kwa wazoefu na wajuzi naomba kujua ikiwa kuna mbegu maalumu ama mbolea ili kupata mazao mengi zaidi. Wakulima walio wengi wanalima kienyeji zaidi na mavuno si makubwa sana. Kuna siku niliskia FORUM CC wanawasaidia wakulima kulima kisasa katika zao hili.
Naomba msaada kwa wajuzi na wataalamu wa kilimo na kama forum cc wapo humu watoe msaada. Msimu wa kilimo ni huu, wakulima wanaingia shamba kupanda.