Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Watu wamepiga pesa ya manunuzi mengine haya wahusuWadau Nawasalimu.
Bila kuyatatua Matatizo yanayoikabili Sekta ya Kilimo kwa Miaka 60 iliyopita HAKUNA MAJABU tutakayofanya kwa KILIMO Chetu Tutakuwa TUNADANGANYANA...
Marehemu mzee Nyerere alifunga kiwanda cha kuunda matrekta kilichokuwa kinamilikiwa na LONRHO akaanzisha kiwaanda cha majembe ya mkono UFI.Wadau Nawasalimu.
Bila kuyatatua Matatizo yanayoikabili Sekta ya Kilimo kwa Miaka 60 iliyopita HAKUNA MAJABU tutakayofanya kwa KILIMO Chetu Tutakuwa TUNADANGANYANA...
Alikuwa na DNA ya umasikini.Marehemu mzee Nyerere alifunga kiwanda cha kuunda matrekta kilichokuwa kinamilikiwa na LONRHO akaanzisha kiwaanda cha majembe ya mkono UFI.
Mzee yule, masuala ya uchumi alimpiga chenga.
alikuwa mjamaaMarehemu mzee Nyerere alifunga kiwanda cha kuunda matrekta kilichokuwa kinamilikiwa na LONRHO akaanzisha kiwaanda cha majembe ya mkono UFI.
Mzee yule, masuala ya uchumi alimpiga chenga.
Huu utakuwa ule udongo wanaobwia wajawazito!Unaweza ukalima mazao yasiyohitaji mvua nyingi na ukatoka pia
Tatizo utaalam wa kisiasa unapewa nafasi kubwa kuliko ule wa "kitaaluma na uhalisia". Tuna safari ndefu sana kufikia malengo tuliyojiwekea kwenye Sekta ya Kilimo.Wadau Nawasalimu.
Bila kuyatatua Matatizo yanayoikabili Sekta ya Kilimo kwa Miaka 60 iliyopita HAKUNA MAJABU tutakayofanya kwa KILIMO Chetu Tutakuwa TUNADANGANYANA.
KILIMO cha Tanzania bado ni cha Kizamani sana.Huwezi kufanya Mapinduzi ya Kilimo kama Kilimo chenyewe ni Cha JEMBE LA MKONO
Hakuna MBOLEA MADAWA na MASOKO na Kinategemea MVUA. Asilimia 90 ya Wakulima wa Tanzania Wanalima KILIMO cha JEMBE la MKONO wanategemea Mvua ambayo hawana Uhakika nayo Hawana uwezo wa kununua Mbolea na Madawa na Mwisho hawana Masoko kwa Mazao yao.
Kilimo ni akili udongo wowote tu unatoka,shida ya wengi wamekariri mazao thus kilimo hakiwalipiHuu utakuwa ule udongo wanaobwia wajawazito!
Pamoja na hili, siamini kwenye kilimo cha jembe la mkono na kilichotawanyika kama nywele za kipilipili ambacho ndio kinabeba taswira ya kilimo chetu kwa zaidi ya asilimia 99.Hili la mbolea halina mwisho mzuri!
Mkuu ukame unaufahamu au unasimuliwaUnaweza ukalima mazao yasiyohitaji mvua nyingi na ukatoka pia
Kuna mazao hayana shida na ukame,mvua kidogo tu unavuna.Mkuu ukame unaufahamu au unasimuliwa
Nakushukuru kwa kuchangia