Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Tanzania ni nchi huru kwa miaka 61 sasa.Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na raslimali nyingi kila mkoa
Tanzania ni nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo mito mabwawa maziwa na bahari.
Tanzania ni nchi yenye misitu
Tanzania ni nchi yenye mifugo mingi na wanyamapori wengi
Tanzania ni nchi yenye kila kitu ina watu mil.60 ambao asilimia 65 ni vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa
Tanzania ni nchi yenye uchumi wa kati
Lakini pamoja na yote hayo
Tanzania ni nchi yenye watu masikini sana mlo wao ni mmoja kwa siku.
Umasikini wao bado unawafanya kilimo
Chao kuendelea kuwa cha jembe la mkono mpaka leo
Je, Watanzania tunakwama wapi?
Kwanini tununue ma v8 badala ya matreka na kuyatawanya vijijini?
Je, tatizo la umaskini wa tanzania na watu wake nani anasababisha?
Je, ni siasa?
Je, ni uongozi?
Je, ni Wananchi ?