Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Mwaka Jana nimefanya uchunguzi nimegundua Kuna fursa ya biashara ya karanga zikiwa mbishi hasa pale ukiwahi mapema Sana.
Debe 1 linauzwa kuazia 10000 to 20000 vijana tusibague kazi. Pesa ziko tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Debe 1 linauzwa kuazia 10000 to 20000 vijana tusibague kazi. Pesa ziko tu
Sent using Jamii Forums mobile app