Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Likiwa limekobolewa tayari?Mwaka Jana nimefanya uchunguzi nimegundua Kuna fursa ya biashara ya karanga zikiwa mbishi hasa pale ukiwahi mapema Sana.
Debe 1 linauzwa kuazia 10000 to 20000 vijana tusibague kazi. Pesa ziko tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimefikia hatua hiiMwaka Jana nimefanya uchunguzi nimegundua Kuna fursa ya biashara ya karanga zikiwa mbishi hasa pale ukiwahi mapema Sana.
Debe 1 linauzwa kuazia 10000 to 20000 vijana tusibague kazi. Pesa ziko tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusini mkuu hata hivyo Bei Hua zinapanda ama kushuka kulingana na uzalishaji
Baada ya kusikia "tuje kuwekeza" bei zimekua pressure (inapanda na kushuka)Kusini mkuu hata hivyo Bei Hua zinapanda ama kushuka kulingana na uzalishaji
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahBaada ya kusikia "tuje kuwekeza" bei zimekua pressure (inapanda na kushuka)