Kilimo cha Karanga

Kilimo cha Karanga

Nyangabo2022

Senior Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
126
Reaction score
195
Wajuvi wa mambo heshima kwenu wote!

Nimejikuta natamani Sana kilimo cha karanga baada ya kuona soko lake liko juu, pia nahisi ni kilimo chake ni rahisi.

Karibuni wazoefu mnipe mchanganuo ya mbegu nzuri, mapato kwa heka moja!

Ahsanteni.
 
Nimejaribu ekar moja msimu huu naomba Mungu mavuno yawe mazuri maana ndio nimelima kwa mara ya kwanza
 
Back
Top Bottom