N Nyangabo2022 Senior Member Joined Nov 13, 2022 Posts 126 Reaction score 195 Apr 13, 2023 #1 Wajuvi wa mambo heshima kwenu wote! Nimejikuta natamani Sana kilimo cha karanga baada ya kuona soko lake liko juu, pia nahisi ni kilimo chake ni rahisi. Karibuni wazoefu mnipe mchanganuo ya mbegu nzuri, mapato kwa heka moja! Ahsanteni.
Wajuvi wa mambo heshima kwenu wote! Nimejikuta natamani Sana kilimo cha karanga baada ya kuona soko lake liko juu, pia nahisi ni kilimo chake ni rahisi. Karibuni wazoefu mnipe mchanganuo ya mbegu nzuri, mapato kwa heka moja! Ahsanteni.
Mkulima na Mfugaji JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,047 Reaction score 1,832 Apr 15, 2023 #2 Nimejaribu ekar moja msimu huu naomba Mungu mavuno yawe mazuri maana ndio nimelima kwa mara ya kwanza
Nimejaribu ekar moja msimu huu naomba Mungu mavuno yawe mazuri maana ndio nimelima kwa mara ya kwanza