Kilimo Cha kibiashara

Kilimo Cha kibiashara

M2De

Member
Joined
Oct 27, 2021
Posts
14
Reaction score
8
Habari za uku wakulima wenzangu naombeni msaada haswa wa Mambo mawili
1.ardhi
Hivi ni njia gani mtu unaweza milikishwa ardhi ambayo no mapori bado na kuianzisha kwaajil ya kilimo
2.Masoko
Ni njia zipi watu wanatumia kutafutia masoko ya uko ughaibuni na wanayapataje?

Naombaa kuwasilisha kwenu asanteni
 
Hili la ardhi unaweza fika katika eneo unalokusidia kulima/ kuwekeza ukaonana na uongozi wa kijiji na ukaenda halmashauri ya wilaya hiyo na utapewa ardhi ya kutosha.

Swala la masoko ya nje jaribu kutembelea wakulima wanaosafirisha nje mazao yao watakupa muongozo kuna GBRI Farm ( hawa wanadili na njegere na maharage mabichi) kuna wengine wapo lushoto jina limenitoka ila wanafanya shughuli hizo.
 
shukrani Sana mkuuu
 
Natafuta mbegu za matunda damu (tomato tree seeds) at least 1000. Ni-PM kama unajua zilipo
 
Back
Top Bottom