shukrani Sana mkuuuHili la ardhi unaweza fika katika eneo unalokusidia kulima/ kuwekeza ukaonana na uongozi wa kijiji na ukaenda halmashauri ya wilaya hiyo na utapewa ardhi ya kutosha.
Swala la masoko ya nje jaribu kutembelea wakulima wanaosafirisha nje mazao yao watakupa muongozo kuna GBRI Farm ( hawa wanadili na njegere na maharage mabichi) kuna wengine wapo lushoto jina limenitoka ila wanafanya shughuli hizo.