habari
huu ni mkopo maalumu Kwa wakulima wakubwà na wadogo Tanzania nzima. mkopo huu unajumuisha wakulima wa mazao ya biashara na ya chakula. ikiwa wewe ni mkulima na unahitaji fedha Kwa ajili ya kukuza kilimo chako ili kiweze kupata matokeo mazuri.
kiwango Cha kukopa huanzia milioni moja hadi billion Moja
# muda wa marejesho ni miezi mitatu Hadi miezi 24 mteja ana uhuru wa kuchagua muda wa marejesho
# RIBA ni asilimia 3.5% kila mwezi ( reducing balance method)
# mteja atapata mkopo ndani ya masaa 48 Hadi 72 pindi atakapokuwa amekamirisha taratibu zote
# Mdhamana ni KADI YA GARI hati ya nyumba au Kiwanja Toka serikalini
NYARAKA MUHIMU AMBAZO MTEJA ANAPASWA KUWA NAZO ILI APATE MKOPO
Kitambulisho cha taifa NIDA
Leseni ya udereva
Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa
Taarifa za kibenki za miezi 6 au miamala ya simu
Tin number
Leseni ya biashara
3 passport size za kwako na 3 za wadhamini wawili
Kitambulisho cha taifa NIDA Cha mdhamini na barua ya mdhamin
KADI YA GARI hati ya nyumba au Kiwanja
Kwa yeyote mwenye uhitaji wa mkopo tafadhali wasiliana NAMI
0686153806
Huu mkopo wenu mmewalenga wakulima wakubwa tu huo ndo ukweli........
Mkulima mdogo hawezi kuwa na lesen ya biashara hata bank transcript ya hiyo miez kadhaa hawez kuwa nayo..
Punguzeni vipengele visivyo na muhimu..