Kilimo cha korosho mkoani Manyara

Kilimo cha korosho mkoani Manyara

Joined
Sep 21, 2020
Posts
52
Reaction score
29
Wadau,

Naomba kuuliza kuna mtu ameniambia kuwa kama mtu anataka kufanya kilimo cha mikorosho Mkoa wa Manyara ni sahihi.

Je, kuna ukweli juu ya hili jambo?
 
Manayara sio eneo sahihi la kilimo cha korosho comercialy, Pia kuna gaida ya Mashamba kuwa eneo moja, mfani kule Lindi ja Mtarwa, Sasa ulimr mwenyewe korosho than mtaja afunge safari kuja kuchukua korosho zake mwenyewe?

Mfani Alzet Singida ni nyingi sana au Babayi huko Mnayara hivyo ina vutia wanunuzi wengi sana, nenda huko Mara nilikuta wana force kulima alzet na hata wateja hakuna inabidi wakamue wenyewe,
 
Kama atapata mavuno mazuri wanunuzi watafika tu,manyoni korosho zinastawi vzr na kuna shamba kubwa la halmashauri,korosho hustawi vyema kwenye ardhi tifutifu na kichanga sijafahamu huko manyara kama itaweza stawi vzr.
 
Back
Top Bottom