Mkuu, ukiachana na mazao ya bustanini ambayo Ni rahisi kutafuta maji kuna mazao Ni vigumu kusema watu watatafuta maji, mfano mihogo tofaut na mvua,maji utapata wapi?Bei za mazao ziwe zinatabirika!, na zenye tija kwa mkulima.
Watu watatafuta maji popote ili kulima.
Kilimo kwa baadhi ya mazao, licha ya kuwa na uhakika wa maji, kimetelekezwa kutokana na hasara.
Vijana wamerundika barabarani wakichuuza bidhaa za mchina ili kukimbia kilimo