CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Kuna vitu ukivitaja unalima au unafanya watu wanaweza kukuona kama umechanganyikiwa jwa sababu kuu 1 tusha zoea yale mambo ya fuata mkumbo yale ya mass, yale mambo yanafanywa na wote.Kama ni kilimo basi tunalimwa wote.
Madodoki wengi tunayajua sana hasa enzi za kuishi huko bush, Ila wengi hatujui kama ni pesa au la.
Madodoki ni pesa tena nzuri sana endapo utawekeza kwenye kilimo chake na pia kuya process na kutengeneza end products yake,na sio kuishia kulima tu.
Kwenye Super Market kubwa huwa nakutana nayo ila ni yametoka nje tena Asia huko ndio wanakuja kutuuzia sisi, ila sisi tunaona ni uchafu.
Madodki hutengenezwa na kuzalisha dodoki za kuogea, kuoshea vyombo na mould pia.
Ila ili umake unapaswa kulima na kuyachakata, sasa kuchakata hapo ndio uvivu wetu ulipo, hapo ndio shida ilipo.