Kilimo cha maembe

Kilimo cha maembe

kilimo matunda

New Member
Joined
Sep 26, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Aina za miti ya maembe

Zipo aina nyingi za embe, hapa, tumeelezea chache tu, ambazo ni nzuri kibiashara.

Apple: Aina hii ya maembe asili yake ni pwani ya Kenya. Ina rangi nzuri ya njano au rangi ya chungwa inapoiva, matunda haya ni ya kiwango cha kati na kubwa, yenye muonekano wa mviringo na ngozi laini, na hayana nyuzi kabisa. Aina hii ina soko zuri, na inazaa sana

Kent: Aina hii ina rangi ya kijani na njano nzuri inayovutia kwenye sehemu ya juu. Maembe haya ni rojo rojo na nyama yake ni ya njano iliyokolea na hayana nyuzi nyuzi, yana ladha nzuri sana. Miti yake ina umbo kubwa iliyo nyooka kwenda juu na ni mazuri kwa kuuza nje ya nchi.

Tommy Atkins: Aina hii imekuwa maarufu sana kibiashara. Maembe haya ni magumu kiasi, yana njano iliyokolea, maji maji ya kiasi, na nyuzi za kiasi, pamoja na harufu nzuri. Ni aina nzuri kwa kuuza nje ya nchi kwa kuwa inastahimili kukaa muda mrefu bila kuharibika. Aina hii pia inaweza kukabiliana na ugonjwa wa kimamba na madoa madoa ya kubambuka.

Keitt: Aina hii ina ubora wa pekee katika kuhifadhiwa na inaweza kuachwa juu ya mti kwa muda mrefu hata baada ya muda wa kawaida wa msimu kupita. Matunda yake ni makubwa, na yanakuwa na rangi ya kijani na njano, au nyekundu iliyofifia. Ina kiasi kikubwa cha weupe, au njano/ nyekundu kwenye ganda lake ambalo ni nene na gumu. Tunda lake lina umbo kama yai na lenye mviringo mzuri, na halina mdomo mgumu, kikalio chake ni cha mviringo. Mti wake una umbo la kati na huwa na matawi marefu yanayojikunja, na yana nafasi inayoruhusu kuonekana vizuri, na yana uwezo wa kubeba uzito mkubwa. Aina hii ina soko zuri, na inazaa sana na pia ina uwezo wa kukabiliana na ugonjwa wa madoa doa ya kubambuka.

Karibu ujipatie Miche bora ya miembe ya kisasa, aina hizo hapo juu na nyingne.

Pia tunayo miche ya matunda mengine kama Papai, parachichi, Michungwa, Migomba. Miche yote hii ni ya kisasa na ni ya muda mfupi.

Pamoja na Miche utapatiwa ushauri wa kitaalamu.

Vitalu vyetu vya miche vinapatikana Morogoro. Kwa wateja wa mikoani tunatuma, na miche inafika salama kabisa.
Mawasiliano: Simu 0769255000
 
Ungeweka hata Picha basi ili twende sawa.
 
Mkuu naomba elezea kidogo hizo Aina,bei za miche yake na muda inachukua mpk kuzaa matunda
 
Mkuu jazia nyama,hizo aina kila moja huchukua muda gn Hadi kuzaa tunda?
 
Back
Top Bottom