doctordrew
Member
- Apr 26, 2020
- 71
- 36
Vipi msimu ambao wanaanza kuvuna ?navyofahamu ni wilaya ya simanjiro ndio wanalima kwa wingi mashamba yapo ya kununua na mengine ya kukodisha hakuna kilimo cha umwagiliaji watu hutegemea mvua
June hadi mwezi wa ngapi mkuu ?kuanzia june
huwa inategemeana na mvua wenginr wanapandaga kipindi cha vuli kama mvua za mwaka jana na wakavuna vzr, wengine wanapanda masika ambapo ni uhakika zaidi. vuli huwa wanapanda mwezi wa 10 mwishoni au 11 mwanzoni kutegemeana na mvua ila kipindi cha masika huwa wanapanda mwezi wa 3Msimu wa kuanza kupanda maharage ya njano ni mwezi gani?