N ngina25 Member Joined Feb 3, 2014 Posts 30 Reaction score 3 Feb 20, 2014 #1 Salam wanajamii. Naomba msaada kwenye hili,,nafikiria kuingia kwenye kilimo cha maharage,kwa anaefahamu msimu,maeneo mazuri kwa kilimo na costs naomba anisaidie,,nilipendelea bagamoyo ila ndo bado nafatalia km yanakuwa huko. Thank you all
Salam wanajamii. Naomba msaada kwenye hili,,nafikiria kuingia kwenye kilimo cha maharage,kwa anaefahamu msimu,maeneo mazuri kwa kilimo na costs naomba anisaidie,,nilipendelea bagamoyo ila ndo bado nafatalia km yanakuwa huko. Thank you all