Naunga mkono hojaKaanze kulima hekari moja tu kwanza then next season ndo ulime hizo hekari.10... utanishukuru baadae
Kila kitu kinategemea mazingira unakofanyia Kilimo kuanzia Hali ya udongo na hali ya hewa.Kulingana na gharama za sasa za mbegu na mbolea, naomba analyst mmoja ambae ana uzoefu shambani aniasaidie simple estimation ya hizi
A. Je mbolea nnazotakiwa kutumia ni zipi na kwa kiasi gani?
B. Mbegu unashauri ipi na kwa hekari 10 nitatumia kilo ngapi? (Nalima wilaya ya Serengeti mara)
C. Je kuna kiua gugu ambacho ukitumia hautokuwa na haja ya kupalilia kabisa?
Kama una comment ya ziada nje ya hayo niliyoomba msaada pia karibu. Nafuatilia kwa ukaribu ili kupata ABCD.
Umesema vizuri. Kama ni kulima kibiashara na ni eneo kubwa ni vyema upime udongo ili kujua mahitaji ya mbolea. Itapunguza gharama kubwa.Habari?
Hongera kwa kuchagua Kilimanjaro ambacho ni ajira ya Watanzania almost 80%.
Kwa uzoefu wa Kilimo cha mahindi kwetu Manyara ni Kama ifuatavyo:
-Kukodi ekari Tshs 100,000/= hadi 120,000/=
-Trektra awamu mbili @ 60,000/=
-Mbegu nunua maduka ya pembejeo wameainisha kwenye vile vifuko rate ya mbegu per ekari. Tumia mbegu Za muda mfupi zilizofanyiwa utafiti
-Mbolea Kama eneo liko fertile haina haja ya mbolea Kama unaona afya ya udongo haiko sawa unaeza tumia mbolea ya kupandia (DAP) au mbolea za kinyesi cha ng’ombe nk
-Jiandae kwa palizi mbili gharama ya palizi inategemea eneo kwa eneo vibarua wanatakaje. NB sikushauri utumie herbicides (viua gugu). Mahindi yakiwa madogo yanaweza kuathirika
-Endelea kufanya close monitoring ya shamba lako ukikagua Kama kuna mashambulizi ya wadudu kisha utumie dawa husika. Kumbuka shamba ni la kutembelewa Mara kwa mara
-Jiandae kuvuna,kupukuchua kwa machine,kupaki kwenye viroba,tumia dawa ya kuzuia mashambulizi ya wadudu wakati wa kuhifadhi. kumbuka magunzi kuyasaga pia ni pesa maana ni chakula cha kuku na Mifugo mingine
- Subiri wannunuzi ama peleka mwenyewe mzigo Arusha,Kenya au Sudan kusini.
Roughly gunia moja la mahindi ni Tshs 80,000/= hadi 100,000/=.
Naomba nilipwe consultation fee😃😜
Yes sababu mahindi sio heavy feeder crop compared to sesame. Mbolea haina impact kubwa sana lakini fahamu afya ya udongo kwanza kwa kuchukua sampuli ya eneo lako na kupelekea Maabara ya udongo iliyo karibu na wewe either Dodoma ama TARI ya Tanga wana Labaratory, au SUA.Umesema vizuri. Kama ni kulima kibiashara na ni eneo kubwa ni vyema upime udongo ili kujua mahitaji ya mbolea. Itapunguza gharama kubwa.
Shukrani sana, kuhusu consultation fee subiri kidogo Kuna ishu nasikilizia[emoji28]Habari?
Hongera kwa kuchagua Kilimanjaro ambacho ni ajira ya Watanzania almost 80%.
Kwa uzoefu wa Kilimo cha mahindi kwetu Manyara ni Kama ifuatavyo:
-Kukodi ekari Tshs 100,000/= hadi 120,000/=
-Trektra awamu mbili @ 60,000/=
-Mbegu nunua maduka ya pembejeo wameainisha kwenye vile vifuko rate ya mbegu per ekari. Tumia mbegu Za muda mfupi zilizofanyiwa utafiti
-Mbolea Kama eneo liko fertile haina haja ya mbolea Kama unaona afya ya udongo haiko sawa unaeza tumia mbolea ya kupandia (DAP) au mbolea za kinyesi cha ng’ombe nk
-Jiandae kwa palizi mbili gharama ya palizi inategemea eneo kwa eneo vibarua wanatakaje. NB sikushauri utumie herbicides (viua gugu). Mahindi yakiwa madogo yanaweza kuathirika
-Endelea kufanya close monitoring ya shamba lako ukikagua Kama kuna mashambulizi ya wadudu kisha utumie dawa husika. Kumbuka shamba ni la kutembelewa Mara kwa mara
-Jiandae kuvuna,kupukuchua kwa machine,kupaki kwenye viroba,tumia dawa ya kuzuia mashambulizi ya wadudu wakati wa kuhifadhi. kumbuka magunzi kuyasaga pia ni pesa maana ni chakula cha kuku na Mifugo mingine
- Subiri wannunuzi ama peleka mwenyewe mzigo Arusha,Kenya au Sudan kusini.
Roughly gunia moja la mahindi ni Tshs 80,000/= hadi 100,000/=.
Naomba nilipwe consultation fee[emoji2][emoji12]
Kuna mchongo au sio😅😅Shukrani sana, kuhusu consultation fee subiri kidogo Kuna ishu nasikilizia[emoji28]