Hapo umenena. Kinacho tuponza ni kutokuwa wavumilivu kuhifadhi mazao tukisubiri bei. Msimu huu nimelima heka 60 za mahindi 50 za alzeti 13 karanga ila sitauza mpaka bei ielewekeSwala sio kulima muda gani,swala ni kuuza muda gani.
Anzia Sokoni kabla ya kwenda shamba.
Karibu Tanganyika nzima msimu wa kulima ni kuanzia mwezi wa 11, wa 6 mavuno
Hongera mkuu, lakini nasikia uwezekano wa bei kupanda sana ni mdogo kwa kuwa kuna uwezekano wa wakulima wengi kupata mazao ya kutosha kwa sababu ya mvua kuwa nyingi.Hapo umenena. Kinacho tuponza ni kutokuwa wavumilivu kuhifadhi mazao tukisubiri bei. Msimu huu nimelima heka 60 za mahindi 50 za alzeti 13 karanga ila sitauza mpaka bei ieleweke
God save us
Sahamani mkuu umelimia mkoa gani? Maana nahitaji elimu kwenye alizeti zaidiHapo umenena. Kinacho tuponza ni kutokuwa wavumilivu kuhifadhi mazao tukisubiri bei. Msimu huu nimelima heka 60 za mahindi 50 za alzeti 13 karanga ila sitauza mpaka bei ieleweke
God save us
Pls check yr DMHapo umenena. Kinacho tuponza ni kutokuwa wavumilivu kuhifadhi mazao tukisubiri bei. Msimu huu nimelima heka 60 za mahindi 50 za alzeti 13 karanga ila sitauza mpaka bei ieleweke
God save us
replied
Mahindi gani? Mabichi au makavu,mara nyingi mahindi makavu hayana msimu rasmi nakumbuka January ikifika 120,februari,yakaanza kudrop, cha kuzingatia ni uhifadhi Mara nyingi mahindi yanapanda Mwezi januri na Mwezi may, Kama Ni kilimo cha Mabichi unatakiwa kulima kipindi ambacho Sio msimu wakilimo. AksanteWakuu, baada ya kupata breakdown ya kilimo bora cha mahindi, steps, mbegu, mbolea, uhifadhi na kadhalika
Hatua ya pili naomba wadau mnipe timing za kucheza na misimu kwa upande wa masoko. Yaani kwamba mfano ukilima kipind hiki expect sokoni kutakuwa na hiki nakadhalika. Sisi wageni kwenye sekta hii hatufahamu haya, kwa mkali anaeweza nipa breakdown hiyo anisaidie wakuu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Uzi tayari