Kilimo cha mahindi mkoa wa Katavi

Joined
Jan 11, 2020
Posts
13
Reaction score
4
Habari wakubwa natumaini wazima nimeleta uzi huu mnisaidie kimawazo.

Mimi ni kijana wa miaka 24 nimejaribu kuishi katika mazingira tofauti katika nchi ya Tanzania katika shughuli mbalimbali za kutafuta maisha lakini bado sijapata mafanikio yeyote.

Kwa hiyo nimekaa na kufikiria nikaona bola niweke jambo ili kwa wakazi wa katavi wanishauri kuhusu kilimo cha mahindi uko kikoje maana nataka nipeleke nguvu zangu tena kwenye kilimo cha mahindi. Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe kwa hiyo nataka nikatumie mkono wangu mwenyewe.

Au kilimo gani kinastawi vizuri mkoa wa Katavi na masoko yakoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliambiwa Bei ya kukodi shamba ni 25 na kulimiwa kwa maxai ni 25
 
Kukodi erfu 50 gunia 15 kwa hekari katavi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mvua zinazopiga sie tushakula za uso kwani tangu November mwaka kaja hazijapumzika kama unataka kulima mahindi uje ulime ya kuchoma ya kiangazi, kila la kheri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tutafutane,Niko interested
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…