Kilimo cha mapapai na ufugaji wa samaki

Kilimo cha mapapai na ufugaji wa samaki

contagious

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
528
Reaction score
344
Naomba msaada kwenye hizi sekta mbili, ninataka kuendeleza mradi wa ufugaji wa samaki, nahitaji mafunzo yatakayonisaidia kuendeleza huu ufugaji, pia nataka kuanza shamba la mipapai, naombeni uzoefu kwa anayefahamu.

Shukrani sana
 
Back
Top Bottom