contagious JF-Expert Member Joined Jul 14, 2015 Posts 528 Reaction score 344 Sep 15, 2016 #1 Naomba msaada kwenye hizi sekta mbili, ninataka kuendeleza mradi wa ufugaji wa samaki, nahitaji mafunzo yatakayonisaidia kuendeleza huu ufugaji, pia nataka kuanza shamba la mipapai, naombeni uzoefu kwa anayefahamu. Shukrani sana
Naomba msaada kwenye hizi sekta mbili, ninataka kuendeleza mradi wa ufugaji wa samaki, nahitaji mafunzo yatakayonisaidia kuendeleza huu ufugaji, pia nataka kuanza shamba la mipapai, naombeni uzoefu kwa anayefahamu. Shukrani sana
Dijina40 JF-Expert Member Joined May 17, 2010 Posts 727 Reaction score 247 Sep 15, 2016 #2 Tafuta nyuzi zilizopita. Zina maelezo kamili.