Ni sawa kutafiti kuhusu soko kabla ya kuanza kilimo chochote.Soko la papai wakati hata MCHE hujapanda!
Nashauri upande miche unayofikir, ikifika umri wa miezi minne, ndipo uanze kusaka soko
Kuna nyuzi kadhaa humu ambazo unaweza kuzitumia kama kiongozi chako Kwa shughuli unayetaka kufanya.
Soko la papai wakati hata MCHE hujapanda!

Habari wanajukwaa! Mimi ni kijana nlieamua kujihusisha na kilimo.
Nakusudia kulima papai mapema mwakani na nimedhamiria kuwa na mipapai takriban mia saba.
katika hiyo mia saba, mia tatu nakusudia kuifanyia kilimo cha umwagiliaji na ilobaki kilimo cha kutegemea mvua.
ENEO LA KILIMO, Nakusudia kulima kijiji cha SEGERA wilaya ya Handeni Mkoani Tanga.
HITAJIO KUU: Nahitaji kujua wapi ntapata Soko la uhakika na aina gani ya papai inapendwa Sokoni.
Karibuni wadau.
michango yenu katika hili ni muhimu sana kwa kijana mimi nlie hamasika na kilimo
Mkuu nimesema hivyo kwa uzoefu, sio utafiti.Hatua alizoanza nazo ni sahihi kabisa huwezi kuanza kulima kitu bila kuuliza soko likoje na utamuuzia nani nawengi wanaanguka kwenye kilimo kwajiri hiyo.
Mapapai yale makubwa, marefu, yenye rangi ya carrrot iliyokolea na mbegu nyeusi, na yana sukari na maji mengi. Tafuta hiyo mbegu kwanza then uendelee na kilimo.Habari wanajukwaa! Mimi ni kijana nlieamua kujihusisha na kilimo.
Nakusudia kulima papai mapema mwakani na nimedhamiria kuwa na mipapai takriban mia saba.
katika hiyo mia saba, mia tatu nakusudia kuifanyia kilimo cha umwagiliaji na ilobaki kilimo cha kutegemea mvua.
ENEO LA KILIMO, Nakusudia kulima kijiji cha SEGERA wilaya ya Handeni Mkoani Tanga.
HITAJIO KUU: Nahitaji kujua wapi ntapata Soko la uhakika na aina gani ya papai inapendwa Sokoni.
Karibuni wadau.
michango yenu katika hili ni muhimu sana kwa kijana mimi nlie hamasika na kilimo
Hizi ni ndoto sasa, nadhani akizalisha then haya ndio yaanzajemkuu nakushauri uongeze thamani hapo ndio penye kula penyewe. mawazo ya kiwanda kiwanda. tengeneza jam ya papai. tengeneza ambayo haina sukari ili kukwepa kuongeza gharama. otesha aina ya papai ambazo ni tamu na zina sukari asilia. ukiingia sokoni tumia hiyo ama mbinu ya kibishara kuwa jamu yako huweki sukari. pia unaweza kuwa unaichanganya na matunda ya msimu maana huko uliko ndio kwenyewe. watu wanapenda mixed fruit jam ziaidi ya yenye tunda moja. unaweza kujifunza ujasiriamali huo sido au veta. ukajua namna ya kufungusha. kuweka label. na pia kupata sehemu ya kufanyia kazi ambayo imethibitishwa na tfda na tbs. tupo pamoja.
cheki na tafuta mawasiliano na madalali wa matunda soko la matunda ilala au kariakoo pia soko la matunda mwananyamala ..... natafuta mbegu fupi ya papai
Soko la papai wakati hata MCHE hujapanda!
Nashauri upande miche unayofikir, ikifika umri wa miezi minne, ndipo uanze kusaka soko
Kuna nyuzi kadhaa humu ambazo unaweza kuzitumia kama kiongozi chako Kwa shughuli unayetaka kufanya.
Mkuu nimesema hivyo kwa uzoefu, sio utafiti.
Kumbuka huyu ndugu ndo Kwanza anawazo, hata shimo hajachimba ukiacha mambo mengine yenye changamoto zake.
Angalia jukwaa hili uzi unaohusu, pata ushauri juu ya kilimo cha papai
Mbegu upate kwa supplier wa kuaminika vinginevyo utachakachuliwa. Halafu nawaza hivi haiwezekan kununua sokoni hayo mapapai na kuzitoa zile mbeguHabari za muda wanajamvi! kutokana na dhamira yangu ya kulima papai naomba kueleweshwa yafuatayo:
.Ekari moja kuingia mipapai 1000-1200 ni kwa umbali gani wa mche hadi mche na mraba hadi mraba?
.Kutokana na michango nlopata humu jamvini na kwingineko, imenidhihirikia kuwa papai lipendwalo sokoni ni lile refu lenye umbo la yai- swali, je dukani naweza pata mbegu ya mipapai chotara ya mapapai marefu matupu?

Hapana siyo sahihi,, alipaswa kuuliza soko la mapapai likoje? Hapo ndio angepewa maelezo mazuri lakini kusema natafuta soko la papai inamaanisha tayari unayo unategemea kuvuna kesho kesho. Sasa fikri umeuliza hivyo anajitokeza mtu anasema nahitaji tani 3 za mapapai utasemaje? Utamwambia hata sijalima ngoja niende nikalime? Huo ndio mwanzo wa kupoteza wateja na hawatarudi tena. Hivyo tujifunze namna ya kuuliza!Hatua alizoanza nazo ni sahihi kabisa huwezi kuanza kulima kitu bila kuuliza soko likoje na utamuuzia nani nawengi wanaanguka kwenye kilimo kwajiri hiyo.
Mkuu kama uko karibu na Morogoro nenda pale SUA utapapenda kwa mbegu za mipapai hiyo mirefurefu tena inaanza kuzalia chini hata mtoto wako wa miaka miwili anaweza kuchuma tunda!! Kama unataka ekari 1 ikupatie miche kama 1200 fanya spacing iwe 2 m x 2 m (yaani msitari hadi msitari iwe mita 2 na shimo hadi shimo iwe mita 2) kwa nafasi hiyo utapata kama miche 1225 hivi.Habari za muda wanajamvi! kutokana na dhamira yangu ya kulima papai naomba kueleweshwa yafuatayo: