Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

je mpapai mmoja hutumia muda gn mpaka kuzaa na hubeba watoto wangp?

na huzaa mara ngp mpaka kufa kwake????
 
 
Job K ahsante kwa mchango wako, ila kuhusu kufka SUA napata changamoto kidogo kwani npo Tanga. Vinginevyo niseme tena ahsante.
 
mkuu Utandu kumbe wewe ndio mmiliki wa mipapai hii, maana naona umeielezea mpaka umri wake kuwa inamiezi sita . Je unalimia wapi?

Katika kuperuzi katka mtandao hiyo mipapai nimeikuta sehemu flan nikai screen shot
 
hongera sana kiongozi
 
Job K ahsante kwa mchango wako, ila kuhusu kufka SUA napata changamoto kidogo kwani npo Tanga. Vinginevyo niseme tena ahsante.
Aaaah,, mkuu Morogoro na Tanga mbona pua na mdomo? Panda Tashriff asubuhi saa 12 mchana unarudi na Simba mtoto au Rahaleo ukiwa na mzigo wako wa mipapai!!
 
kumbuka pia kuna changamoto ya mipapai dume
 
Wakuu heri ya mapinduzi

Naomba wenye uelewa kuhusu kilimo cha mapapai,gharama yake, soko lake na muda wa kuvuna matunda tangu miche ipandwe anijuze.
Nipo Mwanza ,nataka kuanza kujikita na kilimo cha matunda ila nataka nijue kuhusu mapapai

Namuunga mkono Sizonje

Asanteni
 
Hivi papai inaitaji tu kulimwa sehemu za irrigation au Zena ota tu hata kwa kutegemea mvua za asili kwa maeneo yanayopata mvua mara mbili kwa mwaka??
 
Hivi papai inaitaji tu kulimwa sehemu za irrigation au Zena ota tu hata kwa kutegemea mvua za asili kwa maeneo yanayopata mvua mara mbili kwa mwaka??

mbegu ya papai ya hybrid inahitaji maji muda wote
 


Kuna hili papai analima mrisho mpoto liangalie pichan nimeipenda hii mbegu balaa hahah inazaa ndani ya 5-6month

Naombeni anaye ijua aniandike jina Lake pls
 
Bado muuliza swali hajajibiwa mbegu zinapatikana wapi wakuu! mwenye jibu amjibu, blablah nyingi sana humu!
 
wakuu naweza kupata miche ya kiwi fruit na shoke shoke na jee inaota vizuri mwanza?
 
Nauza niche ya hybrid Papai being 3000
Namba ya simu 0655404226
Mahali .kiluvya gogoni DSM na kuna shamba hapo hapo lina mipapai kadhaa
 

Attachments

  • IMG_3204909652422.jpeg
    62.3 KB · Views: 138
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…