Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

edi
mkuu naomba nitumie wasaa huu kukujulisha mimi nataka nianze hicho kilimo cha matikiti mkuu, ila sina knowledge, shamba lipo kisarawe (3acres) mkuu naweza kuanza kwa kipi na kipi?

na mtaji unaeza ukawa kias gani? na huwa msimu gani ndo kilimo kinaanza
naomba msaada pliz
 
kaka hongera sana kwa hili.

vipi mkuu uliishia wapi kaka? mimi nataka kuanza hiki kilimo...
 
sasa mkongwe dahhh
 
mie nimelima tikitiki ekari moja mwaka huu nataka kuuza, ila mimi ningependa kuuzia shamba. Mwenye taarifa ya hali ya soko kwa Dar es salaam wiki hii. Shamba lipo Kigamboni.
 
Wakuu vipi feedback kwa waliolima msimu huu? Soko lipo? Bei imepanda au imeshuka?
 
BEI ZA TIKITI LEO 24/02/2016

1.KIRUMBA -MWANZA TIKITI MOJA LA KILO 1 NI TSH 750
2. MAKAMBAKO-NJOMBE-TIKITI MOJA LA KILO 1 TSH 2220
3. LUSHOTO TANGA-TIKITI MOJA LA KILO 1 TSH 2000
4. MWANAKWEREKWE ZANZIBAR, PISI MOJA YA KILO 1 TSH 1500
5. DODOMA TIKITI 1 LA KILO MOJA NI TSH 2260
6.KARIAKOO PISI MOJA LA KILO 1 NI TSH 1000
7. MOROGORO PISI MOJA YA KILO 1 NI TSH 2000
8. KILOMBERO-ARUSHA PISI MOJA LA KILO 1 TSH 2000

Wakuu vipi feedback kwa waliolima msimu huu? Soko lipo? Bei imepanda au imeshuka?
 
mimi nimelima ila bei yake ni ndogo sana kuliko gharama za uzalishaji nimepata hasara kubwa sana.
 
Kaka naomba uniambie hiyo mbegu ya mjapani inaitwaje na ni hybrid au laa?
 
 
Ally habari, naweza kuwasiliana na wewe Mkuu? naina hii fursa kaka, naomba email yako
 
Ninayo business plan ya kilimo cha water melon!.. Ila iko planed zaidi kwa infrastructure za Dodoma cjui kama itakufaa!..
hi Avatar, mambo vipi, nimepita hapa, naweza pata hiyo Bp ya miundombinu ya Dom?
 
kama kuna group lolote la hii kitu au kilimo kwa ujumla niungeni 0714498507
 
Matatizo Mengi sn yametokea sababu ya kutoa mbegu ulaya maisha yako yote usimshaur mtu asiye mtaalamu kutoa mbegu kokote duniani kuja Tanzania km tunataka kuendelea kulima vzr tz, mfano mdudu wa nyanya anaitwa tutor au Kantangaze wauliza Wakulima wa nyanya alitoka huko huko, plz plz tushirikishane kwa hilo
 
Wakuu hivi hili group la whatsapp lipo active?

Admin fanyia msaada hii namba 0719881021
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…