Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Kaka
Naomba namba yako au naomba nipigie Mimi kwa namba yangu 0654431820 nahitaji hiyo master plan ya kilimo Cha tikiti maji naomba tuwasiliane tafadhali.
 
Habarin wana ndugu,

Mimi n mkulima Wa mda sasa Wa mboga mboga na matunda, nna experience ya kilimo cha tikit maeneo tofauti (nmewahi kulima katavi baadae nkahamia Zanzibar).

Npo pwani kwa sasa, nmeyumba kifedha kiasi, nahitaji mtu alie interested na kilimo hiki aweze tuungane kufanya kazi. Awe mkoa Wa pwan/Kilwa Lindi.

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana JF,, I'm asking for a fevor ,,,yeyote anae jua kutengeneza pesticides Kwa ku2mia Organic substances ,,Kama Miti ,majani nk,,, please
 
Mkuu, watermelon inafanana kabisa na mzao wa maboga. Unaotesha mbegu na hakuna transplantation, huwa linaota na ktambaa kama maboga na kutoa maua jinsi linavyokua linaanza kuzaa matunda na kuvunwa kadiri yanavyokomaa, msimu ukiisha linakufa.
LAT mzima kaka,
Ulipotelea wapi mkuu. Za siku?
 
+255759961012, naombeni kuunganishwa kwenye group la WhatsApps
...... Very interested na kuchukua risk (Usiniulize kwa nini).
 
Mkuu hongera sana kwa kuwa na uzoefu wa muda katika shughuli hii inayowakimbiza wengi, Lakini usijali sana kuhusu kuyumba, kuteleza so kuanguka siku zote, piga mahesabu mawili matatu, vuta nanga amsha tena (kwenye maisha kuna kupanda na kushuka). Mimi niko very interested na project za Kilimo, tatizo niko Arusha.
 
Wadau, kwa wenye uzoefu na kilimo Cha matikiti eneo la Songea , ni mbegu gani zinakomaa vizuri na kwa muda mfupi Maeneo hayo? Hasa wenye utalaam /uzoefu wa mazingira ya Songea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa hiki kilimo ni kigumu ila ukikipatia kina faida sana
 
Nimejaribu kulima matikiti maji msimu wa masika lakini sikupata vile nilivyotarajia kutokana na mvua kuwa nyingi sana japo pia sikupata hasara kwa gharama nilizotumia. nilitumia Hyríd Sugar Queen F1 kama mbegu lakini changamoto ilikuwa ni size ya matunda kutoridhisha.

Ktk comments za wateja niliskia kutoka kwa wateja wawili tofauti wakisema kuna mbegu moja inatoa matunda makubwa sana na yenye radha, sifa kuu ya mwonekano wa matunda hayo ni "rangi ya nje ya tunda ni zebra lakini isiyo na kijani kilichokolea, linakuwa kama jeupe fulani ivi" so, naomba mtu mwenye idea na hii mbegu aniambie ni mbegu aina gani tafadhali, au mbegu ipi ya tikiti ina sifa ya kutoa matunda makubwa sana mbali na huduma za shambani?
 
Nenda kwa duka pembejeo utapewa ushauri na utajione mwenyewe mbegu za aina mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…